
HOW TO INCREASE SALES IN MTUSH BIZ
(g) Measure And Improve Wadau ni ya muhimu ku-track sales zako. Hii info unaeza tumia ku-improve biz yako. Hii inamaanisha wewe kama mwanabiashara ni vema kufanya record keeping kila wakati.
Kufikia hapo sina la ziada😀 this week nitaleta series ingine tuzidi kujengana na more ideas kama wanabiashara wa Mtush. If kuna topic ungependa tuguzie please feel free kusema Kwa comments section. #SisiNiMESH
0
0
0