How To Use MESH More Effectively As A Hustler
Vipi Meshers MESH si place ya kuscroll tu, ni tool ya kujenga hustle yako. Hapa ni simple ways za kuimilk vizuri:
-
Jitambulishe kama brand, si spectator
- Andika clearly unafanya nini, uko wapi, na mtu akupate aje.
- Post mara kwa mara kuhusu biz yako, sio once kwa mwezi.
-
Show your work, not just “DM me”
- Weka picha safi za products au services before and after.
- Onyesha bei, location, na simple call to action: “To order, WhatsApp…”
-
Tumia comments kama free marketing smart
- Jibu maswali ya wengine honestly ukitumia experience yako.
- Ukiwa service provider, ongea solutions, si tu kujipush ovyo.
-
Connect, usiogope inbox
- Uki like mtu content genuinely, DM ukaulize swali, offer collabo, ama quote.
- Hapa unaweza pata suppliers, customers, mentors.
-
Jifunze actively
- Soma stories na articles, chukua ideas unazigeuza action kwa hustle yako wiki hiyo hiyo.
- Save posts za maana, urudi uzipitie uki plan.
Meshers, kutoka leo, jaribu rule moja: kila siku ukiingia MESH, contribute kitu kimoja – either post, comment yenye inasaidia, au offer ya huduma yako. Over time, utaona difference.
0
0
0