Huko kwa Elon kumechemka! 😂
Unaacha 9-5 yako ufocus na large-scale farming. 🌚
Then one morning unaamka... umefutwa kazi. Engagement imekauka, account imepoteza reach, ama umeachwa nje kabisa.
Na hiyo ndiyo ilikuwa source yako pekee ya income.
Sasa unaanzia wapi? 🤔
Moral of the story? Usitegemee online space pekee. Algorithms hubadilika, platforms hubadilika, na opportunities zinaweza kuisha bila warning.
Kuwa na biashara, skill, ama side hustle yenye inaweza kukuweka afloat siku mambo yakiharibika online.
Usiweke mayai yote kwa kikapu kimoja. Hustle smart. 💯
0
0
0