
Huko X(Twitter) Elon anasema tulipie badge ya 1500 per month alafu atulipe kutweet. Lakini nayo ukikosa kufikisha hizo 5M impressions blue badge yako itakua tu maua buana. Mind games za investor, its not easy for us mameen seeing $0.00 ad revenue while others wako mafutani. Nyinyi mnaona aje hii story ya Ad Revenue sharing huko Twitter?

0
0
0