Huku kericho hakuna ps bana so nadai kufungua base ya fifa juu kuna mastudent wengi hii area na itakua fiti sana