Huku kuna Wasee wanafanya graphic design?
Ndo nasoma nahitaji mentorship napia nataka kuconnect na graphic community. Saidieni please atleast niconnonect na magraphic designers