Huku Lurambi in Kakamega town naona kuna wasee wanauzia mafresha second hand beds and mattresses na biz yenyewe iko booming ajab, wwwuuueeeh! Kweli akili ni mali