Huku mtaani nitashow wasee venye mesh imeniokolea na pia kuokolea mabeshte wangu kupata ma connections mob kwa hii time kidogo nilijoin mesh , nitawashow mesh iko na all opportunities kwa kila msee kuanzia msee wa boda hadi ule fruit vendor. Pia nitawashow ukiwa na mesh huezi teck ati unasaka job life itakua tu simple juu utaconnect na ma dealers apo ivo
0
0
0