Huku mtaani,
Njia moja ya kufukuza njeve huwa ni supu, miguu na mutura. A recent trend ya wazee ni baze ya soup ya ngamia 🐫 😋!
Apparently ni nutritious na husaidia sana mifupa. Karibu, karibu sana customer🤤!

0