huna job, changamka hata na mia tano , enda gikomba mapema chagua crop tops tano kali za mia mia . Zungusha uza mia mbilia na hamsini moja, uone kama warembo hawatanunua ziko in demand, .by kesho utakua na 1k rudi tena chagua saba thank me later ☺️💪🏼
0
0
0