
Hurrray!!! Fruit Vendors😁 Ni ile season ya maembe ...
Wewe kama fruit vendor how is the going ...hii ni opportunity fiti sana juu ziko in season with favourable prices.. Have you thought of selling blended mangoes ? I have a SECRET TIP for you yenye nimepewa nana fruit vendor coz bizna yake ya blended mango juice imeshika..
Najua si maembe zote utaste poa thats why may be unaogopa kublend .. Make ur blended Mango juice taste sweet with ILIKI(cardamom)
Ukiblend the juice put the black seeds za iliki ndani kwa blender then ublend zote pamoja...its gives the products a natural sweet taste and serve it cold kwanza kwa places zina experience heat sana.... To other meshers you can also try this recipe at home 😇



0
0
0