
Hustle,,, Biz yangu ya kuuza kitchen ware viatu, bags na manguo online,, last week nilikua na order ilineed 10 k, sikua na doh,, nikakopa bestie wa mine,,, at least nilimake kuretain customers wangu na order zilipofika,, I delivered immediately, nikalipwa instant,, nikalipa loan yabestie nanimabakisha zangu zakunisaidia,,
0
0
0