
Hustle ni hustle Bora kujituma 👏👏 These guys hurauka 5 kupika maandazi na chai kwa open place kando ya barabara and by saa mbili hawako wameuza yote wameenda 💪💪
They are targeting *Watu wanaenda job morning *Students wakienda shule *Wenye wanaenda kwa nyumba kunywa chai na maandazi
Remember by that time kanjo pia hawajaanza kazi yao🤣🤣 akili mtu wangu #Tujijenge

0
0
0