Hustle ni real na true only tukiform kitu inaitwa unity which is power. Na ujue Shujaa Mesh wameamua kuwa mtari wa mbele kuleta vijana pamoja na kufanya youths to be very independent mm ni ArwasKB a comedian and MC