Hustle ya kuuza nguo za mtush imeenda chini sana, na nafikiria kuchange hustle yangu ikuwe hustle ya kuchoma samaki, nitafanyeaje juu pia doh ya kuanza inanipiga chenga ?