
Hustle yangu entail kuunda khaki packaging bags also known as Kraft bags. So normally tukipata order kubwa huwa tunaongeza team ndio kazi iende haraka but things changed vile COVID-19 ilikam coz sasa gathering ilikuwa banned but regardless biz lazima ingeendelea ndio tuweze kujikimu ki maisha... So tuliamua tukasplit team into two.. One for night shift na ingine during the day so hakuna wasee kujikusanya place moja coz of our limited space and then tulieza ku buy sanitizers, thermo guns na masks so mtu akikam kwa workshop yetu anapimwa alafu anakuwa sanitized then anadispose his/her masks anapewa ingine mpya. We also came to realize tukijiprotect na tuache our immediate community nje still tutakuwa tumefanya kinda zero work so we partnered na NGO ingine kule mtaani inaitwa Tiba Ni Sisi so time job iko less tunawasaidia ku distribute mask then tunawaelimisha kuhusu athari ya virus vya Corona na jinsi ya kujikinga ndio wasiambukizwe na wenye wako na virusi hizo. You see with that little act community believed in us na more often tungepata kazi courtesy of referral from one of our community members wenye walipendezwa with what we did.. Tuliweza pia ku incorporate some youth in our locality so it meant kazi tungetake 3 days we were able to finish in 1½ days so the more we produced the more revenue tuna generate and also we had more people doing marketing and that equals more job. We have overcome and we hope for more brighter days ahead💪 #SisiNiMesh #FormNiKujengana