
Hustle yangu iko na struggles, zimejaa kama mat na makanga wa CBD!
Kuna so many factors zinachangia economy imechacha, clients wanakula blue ticks zangu kama breakfast, na pesa ikipotea haijui location yangu. Lakini hata kama life inanipiga kama Wi-Fi mbaya, bado nashikilia network!
I will keep my head high (na sio juu hakuna fare), because I know mashujaa hawakujengwa kwa soft life! Tutatoboa tu.
0
0
0