
Hustle yangu ilikuwa lowkey, MESH ikaifanya loud. Nilimeet wasee wako na energy kama yangu, na wengine walinifunza kitu moja ama mbili.
Hapa hakuna show off, ni mtu anakwambia ‘bro nilikosea hapa’, na hiyo info inakuokoa. “Na hiyo ndo ilisaidia biz yangu sana.”
“Sai hustle yangu imekuwa easier juu ya MESH community."

0
0
0