
Hustle yangu ni kuuza viatu, mi ni stude niko uni. Nilipojoin uni nilikuwa na job ndio ilikuwa inalipa fees but sai siko job nategemea hustle na bursaries nikipata. Ni hard but nangangana, pia nina mtoi ako grade one na ni mimi anategemea. I have all the reasons to give up but I haven't so tuhustle
0
0
0