Hustle yangu ni passion yangu pia. Mimi ni filmmaker, naunda mamovies moto moto, kuentertain audience ni raha yangu.