
Hustle yangu Ni ya kutoa any mental health illness ama needs to the person and community so that sisi ma youth tukae tukiwa sane not insane Iam a recovering alcoholic / addictions counselor and a sociologist hope mtanisaidia kuleta hao watu kwa awareness na warudi hustle as it's supposed kutupa rada nimekataa lazma we save our next generation call me text me nko hapa
0
0
0