
Hustle yangu? Nilisomea Applied mathematics kule campus. Lakini huku nje mambo ni different. So sikuweza kupata job in that line. Lakini, nilijiupgrade nikafanya course ingine online. Saii mimi ni Virtual Assistant. Ndio nauliza, nyinyi hutafuta assistants? Nyinyi hudelegate tasks zenye hamtaki kuhundle?
0
0
0