hustle yangu saa ii iko chini kiasi coz most business ideas need to be supported with capital ndio ziweze kua reality.