Hustle zote hujipa.. lakini watu wangu skill...ukipata chance ya kuget skill usichezee...skill haitakutoka na the more uko kwa field fulani the more contacts utapata.