
Huu mwaka nime learn kuwa kukopesha customer ni uadui kwa kazi coz customer akikopa harudi na halipi na hiyo ni hasara mara mbili umekosa customer na umeeda shot.
Na pia huu mwaka nikasoma unafaa kukaa na watu vizuri na tena kusave kakitu yaani kale ka profit aki ata kama utaeka kwa bank ni muhimu sana
0
0
0