Huu mwaka tulisema ni maombi kwa wingi .....nguvu less na akili kidogo tu mpaka village people washangae....charity begins at home kabla nifungue restaurant moja fresh nianze kuwalipisha thao kula mokimo na dania juu nimeamua kila mtu afungue hoteli kwa kitchen yake kwanza follow hii link suscribe upate recipe rahisi rahisi kwanza zile za coast mwache kurudi kula pilau ya tembe ndani......kusucribe ni bure kabisa......one love https://whatsapp.com/channe...
0
0
0