Huu mwezi wa July,
Focus yangu ni kulipa madeni mdogomdogo. Kuna madam, na-owe 250, niko nadeni ya 7,500 ya shule, the most ni ingine ya KCB ya 13,280...Zote nataka kujikaza nilipe zote.
Nipeni tips za kulipa hizi zote this month...
Financial plan yako ya July inakaa aje?
Tuchapie hapo chini⬇️⬇️⬇️
0
0
0