Huwa mna-do nini for matumbo kuwa soft kiasi?
Nimeboil kitu 45 minutes na bado ni ngumu...
😅Nacheza safe bana, gas inaweza isha na sembe bado.