
Huwa na allow only wasee wamekua customers for long na nawatrust kabisa ndio waende na deni. Halafu nawapea time limit ya kulipa. Ikifika time yao ya kulipa na bado hawajaget doh huwa nawaongeza time kiasi juu huwa naelewa macustomer wangu na upto now hawajanilet down na pia biz inahitaji mimi na customers wangu tukue na trust.

0
0
0