
Huwa nafeel vibaya kuona mavijanaa wenzangu wakikosa mboka,,depression huwa real mtu yangu. Sa Usikii Kuna boy wangu akona passion ya kuwa donda na io ndo wera ameishi akitafuta,,please mnisaidie kupata izo maconnections. Leo ni yeye kesho ni wewe. Ama niaje Meshers?
0
0
0