Huwa unakeep records zako za #biz after maybe purchasing ama selling 🤔🤔🤔
If yes,,,,, kuna importance gana ya kukeep records zako kwa #hustle yako,,,, tuchapiane kwa comments 👇👇👇