
Hyenas in Juja have gone rogue! 🐺Asubuhi na mapema, it's dangerous to leave the house na kuenda job, jioni pia kuenda home ni noma😱. Na huwezi hama juu huko ndio umejenga, huko ndio home. KWS wanajaribu lakini hyenas bado wana-terrorize wasee mtaani. Advice gani unaweza-patia watu wa Juja ili wajikinge na hawa mafisi wanaokula watu?




0
0
0