
I am a beneficiary of ENEZA LOAN. Hizi loans zinaoffer the best deals so far ikikam to inteest rates. Nikicompare na other lenders, ENEZA offers the cheapest interest rates in Kenya.
Payment methods ziko very cheap. Alafu tuko able kurepay loan weekly, monthly ama hata yote pamoja. Kitu ingine yenye imenibamba kwa hii ni unaezaomba grace period kama umekwama kulipa loan upate kujipanga fiti. Ukilipa mara ya kwanza, wanaongeza limit yako, inaendelea kupanda na hiyo inamaanisha utaget more capital kuboost biz upate more profits.
Hakuna sijui kupigiwa simu kupewa mathreats ulipe loan kama umechelewa kiasi, wanatuelewa sana maze, sisi ni mahustler. Kupata loan pia ni rahisi.
Did you know: Hii ni opportunity kubwa yenye ni ya meshers pekee? Wasee wengine hawana hii opportunity na hawaget interest rates fiti kama sisi.
Proud to be a mesher