
I am a youth kutoka kimbo,Kiambu county. Nilijoin college na hizi sides 2020 and for the time I've been staying here nime notice most of the youth in the area wako jobless and idle such that wengi wanatumia madawa za kulevya sana. Kupata job opportunities around the area ni ngumu unless ukuwe self employed. Mimi binafsi nafanya hustle za hapa na pale time siko shule for survival kama working as a waiter na kufanya online writing. Given an opportunity naeza penda ku educate ma youth on different ideas za kuanzisha biashara zao binafsi na pia with support I could create biashara inaeza employ watu hata kama ni kufungua kibandaski kadhaa.
0
0
0