
I ask myself some quiz if we our it the era of simu ya jamii ingekuwaje Mtu unaenda post office ndio upige simu ☎️ wakati mmeagana na hivo mnapanda line sijui kama watu wa era ya digital wanajua tumetoka mbali na tunaenda mbali siku moja tutakosa scretch cards paybill ndio itakuwa mambo ya kisasa so tuenda na teknolojia tusianchwe nyuma

0
0
0