
I believe up to a certain extent, we need guidance. Even the disciples were given the Holy Spirit. Kama Mesh inaweza organize mentors wa business na mambo ya life generally, najua si kama vijana tutaeza songa mbele. Ama msee yeyote ana feel ako place strategic ya kujenga wengine ainue mkono. Si lazima ikuwe ni doo, but kushika mwenzako mkono and showing them how to catch fish, what fish to catch and when to catch it. #mesh4life #me&mymentor
0
0
0