
I can advise Kevoh this way. Kumbuka hii ni loan na lazima ulipe at the end,chukua 15k utumie ku add more stack especially zile bidhaa ambazo competitors zako hawana,like you can modify your business ikue tofauti na ya competitor.Kama ni service delivery do it in a different and unique way ili ukue tofauti na uatract more customers,,hiyo 5k improve nayo stack yako ama uanze kufanya marketing.If you improve the current stack pia itakua sawa
0
0
0