I do poultry farming,kuku za kienyenji pande ya makueni, nilianza na vifaranga 15,chakula natoa Kwa shamba,pia nazifungulia zijilishe,weather ya huko Iko poa,ni place ya joto na kuku zenyewe hukua tamu sana,bado unauza mayai kienyenji at a better price ama unalalisha kuku unapata vifaranga and thats how I afford to pay my bills nikipiga hustle ingine Nairobi,naweza himiza watu waanze kulisha kuku,small business with profit and you don't strain.
0
0
0