
I feel like sharing this sijui ni comedy ama ni nini!!
Kuna hii time nimekua desperate mbaya...nilikuwa nasaka doh left right to centre. Kumbe huku nje kuna watu wanajua mayouths wanasaka doh, na anajua African society wamekua brought up na ile mentality ya loose money to get money..ati baada ya dhiki faraja...en so many other beliefs za kuteseka!!
So hawa watu wanachukulia advantage ya sisi wenye tunataka good life kwa kutuchocha na some easy get money...opportunities zenye zinakaa a golden deal...en when the deal is too good don't think twice...toroka!!
Ilihapen day moja, nilifall hii trap ya hawa wasee (guess I was still young en stupid) so ilikuwa one of the several online marketers wa Nairobi.
Imagine making minimum 7500/- per week na inaeza enda juu hadi 25000/- .Karibu nikose kujoin University juu I was to give it all nipate doh nianze biashara yangu. Nikakuwa invited na dem fulani alishinda Dm...just to realise ni Kinuthia bana day nilimcall anipick ground floor �...entrance nikaulizwa "unaezataka maji(500ml kwa chupa inakaa ya yoghurt )"...nikakubali juu kila mtu alikuwa na maji huko ndani.
Training nilikua naexpect ikabako...ikakuwa ni advertisement ya products na vnye watu wameomoka na hio bizz. Niliboeka niaje...juu mimi nimekuja training na nikiiva nianze job immediately venye niliambiwa. After hio kitu waliita training...ilikua ubuy hizo products zao at 15000/- na ukiuza profit ni 30,000/-(hio ni 200% profit) product ilikua sabuni inakaa ile home made unaeza chuna ujipake... Ilikuwa iuzwe atlist 1500/- kwa mtu ako na shida za ngozi ama ukitaka ngozi soft Walikuwa na biscuits za kutibu cancer na mafuta ya kupika... Actually hizo vitu haungespend 500/- kubuy. Mi nikaona ni ujinga! But hio session nililearn a lot (nitashare after nimeunda points fiti) But watu wengine mbili tatu walichukua hizo staff. After session, tuliulizwa watu walichukua maji, tunafeel aje, probably every African amezoea kupraise kitu anapewa bure...ooh maji iko sawa ...ohh hio chupa pekee inabamba kushinda maji... Ohh mnafaa mulete hii kwa soko.. Etc
"hio maji imetolewa Keringet springs ikatibiwa na kuekwa ikawa nyororo kwa teknolojia ya kijapan...yenye wanatumia kuunda maji yao ya kunywa kutoka kwa maji ya ocean ya chumvi... Kwa hivyo hio chupa moja ni 500/- lakini leo tutawaachia kwa 340/- kwa mwenye ataongeza moja, 200/- kwa mwenye ametosheka na hio moja" Next episode includes reaction na actions za after maji.. .nimechoka kutype😂😂