I feel that we as team shujaaz tunaweza kuwa wa msaada kwa jamii zetu Kama vile tumeweza kuwasaidia kuget sanitizers na washing station during covid 19 period. Especially kwa wasichana wetu wanaojipata kwa changamoto za kimaisha zinazowafanya wao kujiingiza kwa mambo yasiyofaa. Nimechunguza sababu zinazowafanya kujiingiza kwa mambo haya:
- ukosefu wa sanitary pads. Changamoto Kama hii inawafanya kupata mimba za mapema.
- Bad company Na kadhalika
SISI TUNAOUWEZO KUKOMESHA HAYA KWA KUHOLD SEMINARS NA MEETING NA WAO. IKIWA HIZI PADS ZINAWEZAPATIKANA NINGEOMBA TUZIDISTRIBUTE MITAANI BOCZ FUTURE YA HAWA MAYUT IKO KWA HATARI.
0
0
0