
I finished my college studies last year. And nlikuwa nakaa Kwa kibanda Cha mum kuuza mboga, nyanya, vitunguu, mafuta mboga. So one day nliuza poa then my mum alinipa 300 to buy what I want. So nikaamua kubuy maembe niuzie tu pale kando. Surprisingly I sold maembe ya 300 nkauza 880/=. Embe la 10bob nauza 25bob. I dicided niende ingine and profit ikafika 1k after one week. Watu walibay vizuri. Thats how nlianza biz yangu ya kibanda. Just focus.
0
0
0