
I happend to have a meaningful conversation with director flani uko home, yeye ndio kusema in terms of music videos and covering events. Alinishow nisikimbilie kuingia kwa hii creative industry ju iko na challenges zake pia. Ati ukianza most of the gigs zitakua from your family ama friends. Thousands of people wako in the same field so ntakua tu frustrated nikikosa kua patient. Alafu pia I can always improve. Nianze na online classes ju kuna more skillful people than me in this field. Wengi wako na experience ya many years so nianze ku improve tu mdogo mdogo. And then nianze tu pale chini mdogo mdogo nikipanda. Naeza anza na kuimprove doing photography on my girlfriend and siblings, alafu hizi local craft affairs ni place poa sana ya kuanza kuconnect na wasee. Nlilearn kakituš„
