
I have realised that kuna items ukiuzia karibu na campus unaeza kula doh poa, personally I have tried selling tote bags na comrades wengi hununua ajab, the biz haitaki space kubwa na kupata designs poa I go for mitumba bales, let me share samples za tote bags me huuza, mnaeza pick hii idea yangu pia🙂




0
0
0