
I know kuna some sharp guys hukua wajanja when relocating. They always carry a tape measure, and always check the location of the switches and sockets! Mi siezi kua natembea 10kms from bed kuenda kuzima switch ndio nirudi nilale. Mimi ni engineer mtaani.Who else anaconsider hii as a factor akimove out

0
0
0