
I know kuna watu wanauliza ni businesses gani hizo mtu anaeza anza hawking nazo zenye ni cheap kuanzisha ..Bora uko na licence here are some business unaenza plan for.
1.mitumba /clothes 2.fruits eg watermelon ,apple,pineapple 3.icecream amd ice pops 4.fast food eg smokies ,boiled eggs na kachumbari na pia smocha 5.weight measurement upime watu weights zao. 6.beauty products eg earings , 7.roasted /boiled maize 8.shoes 9.snacks eg sweets,biscuits na pia maji baridi kwanza time yenye kuna jua kali..

0
0
0