
I know mnatamani kunipee oders zenyu but hamniamini. Kwanza mkisikia you pay then wait 10 to 14 days. Sometimes we have to risk. Ata mimi nilikua nauziwa nguo za mtoi wangu na hii tu pre-oder na ivo ndio nilijifunza kuimport. Nadai mnitrust na pesa zenyu na mimi niwangarishie watoi na bei poa. Ukiwa na mabeste wanaeza fika bei chukua nguo kwangu enda uza upate profit yako ya 500-1200 kulingana na place uko. Na hivyo ndio tutaenda mbali kimaisha. Kindly mnipromote




0
0
0