
I know that pesa imekuwa ngumu sana kwa mayouth wengi sana. My time hapa Mesh imenionyesha vile Kuna opportunities mingi huku nje na niko sure mayouth watafurahia sana kujua Kuna hizi opportunities zenye zinaweza wasaidia. Mimi kama brand ambassador nitashare hii information nao na niwaencourage wajoin mesh. Ikiwa hawana bundles nawaekea Hotspot niensure wamejoin na wamejionea hizo opportunity. Huwa nawapea testimony vile Mesh walinijenga 3k ya kuendeleza biz, na vile hadi nilipata t-shirt ya Shujaaz. Niko na following sizeable pale social media, I can also use that to share more information about Mesh and get people to join.
#BrandAmbassadorChallenge
0
0
0