
I'm Bandie,,,mimi naweza sema ni hustler,,sina job ile niko sure nayo Na a certain amount of income,,,Na leo nitawashow hustle yangu first I'm a footballer,, napendaa sana football na hio ndio kitu imeni inspire na imefanyaa ni grow na watu na pia ku socialize na watu different,,, Journey ya football haijakuaa poa sana but I'm still pushing it to a fruitful life,,, team naichezeaa ball ni ya mtaani na hakuna dooh inawezaa kupeaa kuna time ilifikaa life imechange so i need money,,,una jaribuu kutafta at least hustle yenyee itabalance na career yako ,,,At this point nilikuaa blank kabisaa ni kitu gani nawezaa fanya,,,so any job nilikuaa naitiwaa ata this point nilikuaa nai turn down juu ya football,,,,,, So kuna hii time nilikuaa raundii home after nimetoka mazoezii,,nikam meet beste Yangu flanii tulisoma na yeye highschool,,,alikuaa beste yangu mpoa sana juu tulikua na yeye drama club,, after ku catch up he ended telling me that he has an entertainment group that he's running it,,,kumuulizaa about it i found out that ni kitu poa plus ni staff unawezaa Fanya na haita interfere na time yangu ya mazoezii,,, First time kueenda niliget exposure poa since he's entertainment group was dealing with ISUKUTII ENTERTAINMENT,,,,,hapa waluhyaa wanawezaa ku tell alot kuhusu hizo instruments,,, I decided to join them and pick that as my hustle yenyee itaboost football career path yangu,,, Mostly sisi huperfom kwa events kama wedding,,, birthdayparties,,, ruracio,,na co-operate events,,, Bigger part sisi hudeal na entertainmentna hio ndio ji hustle yangu ya power,,,,, My crew performing ina wedding ceremony. Vakhuvi254💯
