I'm Nancy, nafanya grocery juja. Biashara ilikuwa inaendelea vizuri Hadi wakati ambapo Corona ilianza wanafunzi wakarudi nyumbani. sahii biashara iko chini sana hata kupata mahitaji ya kila siku imekuwa ngumu jameni...!
0