I'm Sophia omwenga na hustle yangu n ya kuuza ,...manze since corona ingie biz iko down Sana, na vile sisi tunastay coast na mostly usiku ndio tulikua tunauza Sana, sa vile curfew iliingia manze tunasuffer sana
0